×

Picha: Rais Magufuli Avaa Sare za Jeshi Akiwa Arusha

Magufuli Gwanda (6) Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Arusha Mjini wakati akipita Barabarani kuelekea Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli ambako pamoja na mambo mengine kesho Januari 23, anatarajiwa kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli kundi la 57/15.
Magufuli Gwanda (5)Magufuli Gwanda (4) Rais Magufuli akiwa amevalia sare za kijeshi amesimamishwa na kuwasalimu wananchi katika maeneo ya Sanawali, Tekniko, Ngarenalo, Mbauda, Majengo na Kisongo.Magufuli Gwanda (3)
Magufuli Gwanda (2) Wananchi waliojitokeza kumlaki rais Magufuli.
Magufuli Gwanda (1)Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt Magufuli akiwasikiliza wananchi kwa makini alipopita maeneno ya Sanawali kuwasalimia wakati akielekea Wilayani Monduli.

2 Comments

  1. Your Comment rais magufuli kwa kweli kazi anayoifanya nahis ka naota
    maana tcu iliishauza watu weng sana
    hongera sana rais wetu mungu akupe afya na umri ctahik ili uendelee na mapambano
    amiin

Leave a Comment