×

Rais Atengua Uteuzi Wa Mkuu Wa Wilaya Ya Mtwara Na Mkurugenzi

Hanafi Msabaha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mjini.

Rais Samia amemuondoa kazini Hanafi Msabaha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mjini na kumteua Mwanahamisi Mkunda kuchukua nafasi hiyo
Pia, Rais ametengua uteuzi wa Tatu Said Issike aliyekuwa Mkurugenzi wa Mtwara na kumteua Abeid Abeid Kafunda kuchukua nafasi hiyo
Ikumbukwe, hivi karibuni, Hanafi Msabaha alitajwa na Rais Samia kuendesha Miradi ya Maendeleo kwa upendeleo na kusababisha Wananchi kurudisha Kadi za CCM wakati akiwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara.

UKWELI WOTE: MAMA MZAZI wa CHARMING AFUNGUKA-“NI MATATIZO TU ya KIFAMILIA, ALINIPIGIA SIMU NITAKUJA”

Leave a Comment