
Idadi ya vifo nchini Israel imeongezeka hadi 1200, shirika la utangazaji la umma la Kan limesema. Waathirika walikuwa raia, iliongeza.
Wakati huo huo Wizara ya Afya ya Palestina imesema watu 770 wameuawa katika Ukanda wa Gaza tangu Israel ilipoanzisha mashambulizi yake ya kulipiza kisasi siku ya Jumamosi.
Zaidi ya watu 4100 wamejeruhiwa.