×

Bill Nas, Ester Raphael Wawatangaza Washindi wa Maokoto Ndani ya Kizibo

Meneja wa Chapa ya Serengeti Premium Larger na Serengeti Lite Ester Raphael pamoja na Balozi wa Maokoto Ndani ya Kizibo, Bill Nas, wamewatangaza washindi nane wa kwanza wa kampeni ya “Maokoto Chini ya Kizibo.

Washindi waliotangazwa ni pamoja na Rajabu Bakari, Waziri Jamali, Amina Haji, Joachim Kimario, Angel Edward, Melina Fransis, Geofrey John and Mudy Selemani Kibiki walioshinda kiasi cha shilingi laki tano kila mmoja.

Leave a Comment