
Job Junction Tanzania wametangaza nafasi za kazi za kuuza duka Mlimani City na Shoppers Mall, Dar es Salaam Tanzania
VIGEZO:
1)Uwe smart /msafi/mwonekano mzuri
2)Uwe na umri usiozidi miaka 23
3)Uwe na Lugha nzuri kwa wateja
4)Awe Tayari kufanya kwa shift,Mchana na usiku
5)Uwe mwanifu
MALIPO:
200,000Tsh (Laki mbili)
Mawasiliano:
0656116023