×

Inasikitisha! Simulizi Ya Mjane Aliyefungwa Miaka 22 Kwa Kukutwa Na Nyama Ya Swala Kwenye Ndoo – Video

Maria Ngoda, mkazi wa mtaa wa Zizi la Ng’ombe, Iringa. Siku ya tukio alikutwa karibu na makazi yake na ndoo iliyosadikika kuwa na vipande 12 vya nyama. Baada ya utambuzi, vikabainika ni nyama ya Swala.

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii! ======================== Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰

Leave a Comment