Mbio za Shukrani kwa Mlipakodi yanayoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yatafanyika Novemba 18, 2023 yakianzia kwenye Viwanja vya Gymkhana – Dar ES Salaam yakilenga kumshukuru mwananchi ambaye ni mlipa kodi katika mamlaka hiyo na kuifanya serikali kuongeza pato la Taifa.
Mbio zitakazofanyika ni za 5KM na 10KM.
BONYEZA HAPA ===>> Jisajili BURE kushiriki Mbio na Matembezi ya Shukrani kwa Mlipakodi
