Msanii wa Tamthiliya ya Jua Kali, Zaynabu Said @zaylisa ametoa kali baada ya kudai kuwa eti hamfahamu aliyekuwa mumewe, Dulla Makabila na wala hana kumbukumbu zozote kuhusu msanii huyo.
Amesema anachokumbuka yeye ni mahusiano yake mengine aliyowahi kuwa nayo lakini siyo na Makabila.