Watanzania Wazidi Kusambaziwa Furaha Na Kampeni Ya Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo
Global Publishers November 27, 2023 0 Comments
SHARE THIS:
Meneja Masoko wa Kampuni ya bia Serengeti Breweries Mkoa wa Geita Geofrey George (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh laki 5 mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo droo ya tano, Isaya Japhet, kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika kwenye Ukumbi Lit Lounge Geita. Afisa Masoko kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries Limited kupitia promosheni ya Maokoto ndani ya Kizibo akimkabidhi mfano wa Hundi ya shilingi laki tano, Julieth Almacus Mkazi wa Manispaa ya Musoma mkoani Mara kwa kuibuka kupitia bia ya Smirnoff Ice. hafla ilifanyika Ukumbi wa Chacha, Novemba 25, 2023.
Mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo, Abedi Juma (kulia) akipokea mfano hundi ya shilingi laki tano kutoka kwa Afisa Mauzo wa SBL Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara Leonard Brainer wikiendi hii.
Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya Kizibo ambaye ni mkazi wa Mlandizi, Kibaha mkoani Pwani, Shafiki Balyagati akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa Meneja Mauzo wa Breweries Kanda ya Mlandizi, Pwani Japhet Mwalisu (kulia) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya La Vica.
Mshindi wa Promosheni ya Maokoto ndani ya Kizibo ambaye ni mkazi wa Bunju jijini Dar es salaam Thomas samson (kushoto) akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa Ana Tunu kher ambaye ni Afisa Mauzo wa Serengerti Breweries Limited (kulia) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya QX iliyopo Bunju jijini Dar es Salaam.
Mshindi wa Promosheni ya Maokoto Ndani ya Kizibo, Leonard Malisa (kulia) mkazi wa Singida akipokea hundi ya shilingi laki tano kutoka kwa Mwanahamisi Juma, Afisa Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti wikiendi hii wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi zawadi mshindi huyo iliyofanyika mkoani Singida.