×

Rais Samia Ateua M/Kiti, Makamu Wa Bodi Ya Tume Ya Ulinzi Wa Taarifa Binafsi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Adadi Mohamed Rajab kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa binafsi.

Aidha Dkt. Samia amemteua Bi. Fatma Mohamed Ali kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo.

Leave a Comment