Muonekano wa Uwanja wa Kisasa wa AMAAN Zanzibar, uliojengwa na Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar Chini Ya Mhe Rais @dr.hmwinyi . Uzinduzi Uwanja huo utafanyika leo December 27, 2023 mechi ya kirafiki kati ya Zanzibar Heroes vs Kilimanjaro Stars.
Sherehe za uzinduzi wa uwanja zinaanza saa 12:00 jioni na mechi ni saa 2:15 usiku.
