×

Rais Samia Atengua uteuzi wa Kamishna wa Petroli na Gesi Michael Songora Mjinja

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Kamishna wa Petroli na Gesi Bw. Michael Songora Mjinja.

Taarifa iliyotolewa Januari 4, 2024, na Mkurugenzi wa Wasiliano Ikulu, Zuhura Yunus imeeleza kuwa Mjinja atapangiwa kazi nyingine.

Leave a Comment