×

Rais Samia Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa DART

Rais Samia ametengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Kasi (DART), Dkt. Edwin P. Mhede huku taarifa ikisema atapangiwa kazi nyingine

Aidha, Rais Samia amemteua Dkt. Athuman Kihamia kuwa Mtendaji Mkuu wa DART. Hapo awali, Dkt. Kihamia aliwahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha

Hatua hii inakuja wakati ambao kumekuwa na malalamiko ya Watumiaji wa Mabasi hayo wakieleza kutoridhishwa na ubora wa huduma zake

KIDAWA MAMITO -“WANAKUJA SANA DM KWANGU -COMMEDY ni SAWA na SERIES-STEVE na NDARO WANACHEKESHA SANA”

Leave a Comment