×

Rais Samia Amteua Doris Ntuli Kalasa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa (RAS) wa Iringa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Doris Ntuli Kalasa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa (RAS) wa Iringa.

Kabla ya uteuzi huu Bi. Kalasa alikuwa Afisa Mwandamizi Ofisi ya Rais – Ikulu na anachukua nafasi ya Mhandisi Leonard Robert Masanja ambaye amestaafu.

Leave a Comment