
Je unaijua MRC Kigamboni? Basi kama huifahamu ngoja nikufahamishe, hiki ni kituo mojawapo ambacho wanaishi watu ambao wameathirika na madawa ya kulevya. Na leo hii Meridianbet walifika katika eneo hilo. Je walienda kufanya nini?
Ni kwamba kama tunavyofahamu kuwa Meridianbet ni watu ambao hupenda kurudisha kwenye jamii kile kidogo wakipatacho na safari hii waliamua kuwatembelea watu ambao wameathirika na madawa ya kulevya na kuwasaidia kwa vyakula na sabuni.
Zoezi hilo lilianza mapema kabisa saa 6 mchana na muongozaji akiwa ni Nancy Ingram ambao kwa pamoja walipeleka vyakula kama vile mchele na sukari na vifaa vya kufanyia usafi kama vile sabuni.

Mhariri huyo wa meridianbet kampuni kubwa kabisa ya ubashiri Tanzania nzima wakisifika kwa ODDS KUBWA, alisema kuwa msaada huo utaenda kuwasaidia watu hao kwaajili ya matumizi yao ya kila siku kwani chakula ni muhimu sana kwa binadamu yoyote yule.
Pia kumbuka kubashiri na meridianbet mechi za leo kuanzia pale EPL, BUNDESLIGA, LALIGA, SERIE A, na nyingine nyingi utusue mpunga wa maana umalize wikendi yako vizuri kabisa. Jisajili meridianbet sasa na ubashiri.
Viongozi hao wa kituo cha MRC Kigamboni walifurahia sana ujio wa Meridianbet kwa kuwafikia na kuwashukuru sana kwani vyakula na vifaa hivyo vitawasaidia kwa namna moja au nyingine kwa siku hizi na kuwaomba watu wengine waige mfano wa meridianbet kwani kujali wengien ni jambo zuri sana.

Lakini pia hawakuishia hapo waliomba meridianbet warudi tena siku nyingine kwani watu hao walioathirika na madawa ya kulevya ni wengi na msaada unahitajika ni mkubwa sana.
Vilevile meridianbet inakukumbusha kucheza micheoz ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rocketman, na Sloti kwa dau dogo tuu upige mkwanja wa maana.
Meridianbet nao baada ya kumaliza tukio hilo la kutoa msaada kwa waathirika wa madawa ya kulevya, waliwaambia kuwa watarudi tena siku nyingine kwaajili ya kuwasaidia watu hao.