×

Naibu Waziri Mkuu Wa China Amaliza Ziara Ya Kikazi Nchi

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Liu Guozhong amemaliza ziara ya kikazi ya Siku Tatu nchini Tanzania.

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Mhe. Guozhong ameagwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto.Biteko.

Leave a Comment