Mfanyabiashara maarufu, Chris Lukosi amewajia juu watu wanaofananisha nyumba yake na nyumba ya mtangazaji na staa wa mitandaoni, Mwijaku na kueleza kwamba yeye hashindani na mtu kwenye maisha yake.
Lukosi amesema hawezi kushindana na Mwijaku kwa sababu kwanza hamjui.