×

Kusanya Maokoto na EPL Leo Pale Meridianbet

Kama kawaida wiki hii imekaa ya kupiga mikwanja ya maana pale meridianbet kwa kubeti mechi za EPL ambazo leo hii zitapigwa yani Arsenal, Fukham, Newcastle wote wapo uwanjani chagua machaguo yako uibuke na maokoto sasa

Leo hii mechi yenye mvuto na ya kibabe ni hii hapa ambayo itawakutanisha Aston Villa dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe huku meridianbet wakimpa bnafasi kubwa ya kushinda mchezo huu mwenyeji kwa ODDS 1.84 kwa 3.92. Mara ya mwisho kuonana Newcastle walishinda.

Huku ndani ya City Ground Arsenal atakuwa mgeni wa Nottingham Forest ambaye yupo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wamewapa nafasi ya ushindi vijana wa Mikel Arteta kwa ODDS 1.37 kwa 7.64. Mara ya mwisho kukutana The Gunners walishinda. Je mwenyeji kulipa kisasi leo?. Suka mkeka wako hapa.

Fulham pia atakiwasha dhidi ya Everton  huku timu hizi zikitofautiana pointi 7 pekee. Mwenyeji anashika nafasi ya 13 na mgeni wake akiwa nafasi ya 17. Mechi hii imepewa ODDS 2.43 kwa 2.94. Nani kuondoka na ushindi leo?. Jisajili na ubeti hapa.

Si mpira tuu pia meridianbet inatoa michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Mechi kubwa kabisa katika raundi hii ya 22 ni hii hapa ya Liverpool ambaye atakuwa  Anfield kuzichapa dhidi ya Chelsea ya Pochettino. The Blues kushinda mechi hii wamepewa ODDS 4.60 kwa 1.58. Mechi 7 za mwisho kukutana wametoka sare. Je safari hii nani ataibuka na ushindi?. Ni Klopp au Mauricio?. Beti kijanja na Meridianbet.

Vijana wa Ange Tottenham Hot Spurs baada ya kutoa sare mchezo wake uliopita atamkaribisha Brentford ya Thomas Frank. Mara ya mwisho kuonana walitoka sare. Mechi hii ina machaguo mengi pale meridianbet ingia na utandika jamvi lako hapa.

Naye Roberto De Zerbi na Brighton yake watakuwa na kibarua kigumu ugenini dhidi ya Luton Town ambaye naye pia alishinda mechi yake iliyopita. Luton kushinda mechi hii

amepewa ODDS 4.11 kwa 1.75, huku mara ya mwisho kuonana Brighton alishinda. Tengeneza jamvi lako sasa.

Crystal Palace chini ya kocha mkuu Roy Hodgson watakuwa nyumbani pale Selhurst Park kumenyana dhidi ya Sheffield United huku timu zote zikiwa zilipoteza michezo yao iliyopita. Mgeni kapewa ODDS 5.88 kwa 1.62 kushinda mchezo huu. Ikumbukwe kuwa mgeni ni kibonde wa ligi hadi sasa. Je anaweza kufurukuta leo?. Beti sasa.

Pia hapo kesho LALIGA itaendelea kwa mechi mbili pekee ambapo baada ya Barcelona kupoteza kwa aibu mechi yake iliyopita, kesho atakichapa dhidi ya CA Osasuna ambaye alilazimishwa sare mechi yake iliyopita. Vijana wa Xavi wamepewa ODDS 1.30 kushinda mechi hii kwa 9.01. Wewe beti yako unampa nani?

Mechi nyingine hapo kesho ni hii ambayo itawakutanisha vijana wa Diego Simeone Atletico Madrid ambao wapo nafasi ya 3 kwenye msimamo dhidi ya Rayo Vallecano ambao wapo nafasi ya 13 hadi sasa. Tofauti ya pointi kati yao ni 20. 1.47 kwa 6.27 ndio ODDS za mechi hii. Nani kukupatia pesa meridianbet?

Leave a Comment