×

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Ashiriki maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ameshiriki maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa, yaliyofanyika nyumbani kwake Kijiji cha Ngarash Wilaya ya Monduli, Mkoani Arusha leo tarehe 17 Februari, 2024.

Leave a Comment