Kwenye Hard Talk wiki hii na mtumishi wa Mungu na mwandishi wa vitabu, Lilian Mwasha yupo na mwigizaji, mtangazaji, mshereheshaji na staa wa mitandaoni, @dr_kumbukaa255.
Dokta Kumbuka anasema wanawake wengi siku hizi wanawaendea waume zao kwa waganga wa kienyeji kwa lengo la kuwaroga wawe wanawasikiliza wao tu.
Je, alichokisema kina ukweli? Weka comment yako hapo chini.