×

Ratiba Ya Kuaga Miili Ya Waliopata Ajali Arusha Uwanja Wa Sheikh Amri Abeid leo

Watu ishirini na tano (25) walifariki dunia huku wengine ishirini na moja (21) wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea maeneo ya Ngaramtoni kibaoni by Pass ikihusisha Lori na magari mengine madogo matatu Wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha.

 

Leave a Comment