×

Majaliwa: Wakuu Wa Wilaya Simamieni Kikamilifu Miradi Ya Maendeleo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakazi wa Kitongoji cha Muhumba, Halmashauri ya Wilaya Butiama ambapo aliwaeleza kuwa Serikali itaendelea kuhudumia watanzania katika maeneo yao.

Aidha, Mheshimiwa Majaliwa amewataka wakuu wa wilaya nchini kusimamia kikamilifu miradi yote ya maendeleo kwenye maeneo yao ili ikamilike kwa wakati na viwango.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka shada la maua kwenye kaburi la hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwitongo, Butiama mkoani Mara Februari 27, 2024. Mheshimiwa Majaliwa yupo mkoani Mara kwa ziara ya kikazi ya siku tano.

Leave a Comment