The House of Favourite Newspapers

Sir Terry Wogan afariki dunia

0

wogan

Sir Terry Wogan enzi za uhai wake.

Mtangazaji nguli wa Televisheni na Radio wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Sir Terry Wogan amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 77 baada ya kuugua ugonjwa wa saratani.

Katika taarifa iliyotolewa ni kwamba marehemu amefariki akiwa amezungukwa na familia yake.
Sir Wogan
Miongoni mwa vipindi alivyoviongoza Sir Wogan katika Televisheni enzi za uhai wake ni pamoja na:
Eurovision Song Contest (1971–2008), Blankety Blank (1979–1983), Children in Need (1980–2014), Wogan (1982–1992) na Wogan’s Perfect Recall (2008–2010)

Huku vipindi vya Radio alivyoongoza vikiwa ni:
Wake Up to Wogan (1993–2009) na Weekend Wogan (2010–2015)
Sir Wogan ameacha mke na watoto watatu.

Leave A Reply