
Je, wewe ni Camera Operator wa Michezo (Sports) mwenye uzoefu wa kurekodi contents za michezo kwa ajili ya media na unayefuatilia na kujua habari za michezo?
Changamkia fursa hii!
SIFA
– Awe na uwezo wa kupiga picha (video) za matukio ya kimichezo
– Awe na uwezo wa kuedit video kwa kutumia Adobe Premier au software nyinginezo
– Awe na uwezo wa ku-upload contents za michezo Youtube.
Kama unadhani unazo sifa na vigezo, piga simu namba: 0739750910.
Mwisho wa kutuma maombi ni Machi 18, 2024.