×

Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar – Picha

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichokutana leo.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichokutana leo Jumatano, Aprili 2024, jijini Dar Es Salaam.

Leave a Comment