×

Benki Ya Azania Bega Kwa Bega Na Mabalozi

Benki ya Azania kwa kushirikiana na Kituo Cha Uwekezaji (TIC) waliandaa hafla ya “Usiku wa Uwekezaji” iliyoambatana na chakula cha jioni kwa Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali duniani.

Katika Warsha ya Mabalozi inayofanyika kwenye chuo cha Uongozi cha Mwl. Nyerere, Kibaha ambapo pia Mabalozi walipata nafasi ya kujua fursa na mambo mbalimbali yanayopatika Benki ya Azania na Kituo Cha Uwekezaji (TIC).

Leave a Comment