
Mshindi wa Promosheni ya Soka la Afrika limetiki Raphael Songalaeli (wa pili kulia) akipokea mfano wa hundi ya Sh milioni 10, kutoka kwa Meneja wa Tigo mkoa wa Shinyanga, Sadock Phares, wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika nyumbani kwa mshindi huyo mtaa wa Mwadui mjini Shinyanga, katikati ni Mwenyekiti wa Mtaa huo, Nuru Juma, kushoto ni Mtaalam wa huduma za ziada wa tigo Sostenes Raphael na Meneja Masoko wa Kanda ya Ziwa wa Tigo, Mussa Mwakapala (kulia) wakipiga makofi.