Mama mzazi wa marehemu Zuchy, amesema alikuwa ndiye mtoto wake pekee aliyejaaliwa na kwamba hana mtoto mwingine.
Ameiambia Global TV kwamba alimzaa Zuchy akiwa nyumbani kwao na kwamba alilelewa na yeye kama mama pamoja na bibi yake mzaa mama.