×

Inatisha… Mzee Wa Miaka 53 Aliyefungwa Jela Akiwa Na Miaka 12 Kisa Ujambazi – Video


Kutana na Athuman Swedi Mkazi wa Babati mkoani Manyara mwenye umri wa miaka 53 Ambaye alifungwa jela Akiwa na miaka 15 tu kisa Ujambazi wa kutisha

Athumani Swedi Anasema Aliànza kufanya ujambazi akiwa na Miaka 12 pekee na alikamatwa mnamo mwaka 1982 akiwa na wenzake watatu na kufanikiwa kutoka jela mnamo january ya mwaka 2011

Yapo matukio mengi Ya kutisha ambayo aliyafanya akiwa na umri mdogo ikiwa ni pamoja na kufanya ukatili kwa mama mjamzito, tukio ambalo analijutia sana hivi sasa

Hata Hivyo anasema Maisha ya Jela Yamemfunza mengi Ijapokuwa Anajutia Kile ambacho aliamua kufanya kwa sababu kimemuaribia maisha yake na kumfanya hivi sasa kuishi maisha ya kimaskini

Leave a Comment