Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezindua kiwanda cha Saturn Corporation Limited Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Mei, 2024.