×

Waziri Mkuu Akagua basi aina ya KAYOOLA EVS linalotumia umeme

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua basi aina ya KAYOOLA EVS linalotumia umeme Mei 23, 2024 jijini Dar es Salaam.

Basi hilo limetengenezwa nchini Uganda na kampuni ya Kiira Motors Corporation.

 

Leave a Comment