×

Duma: Nilikuwa Natoka Na Wajane Na Mishangazi, Dereva Tax Inataka Moyo – Video

Msanii wa Bongo Muvi, Duma na mjasiriamali maarufu ametangaza kuwa mwaka huu lazima afunge ndoa na mwanamke wake, @chino_china1 na kueleza kuwa anampenda sana ndiyo maana amekuwa akimposti mitandaoni, jambo ambalo hakuwahi kulifanya kabla.

Leave a Comment