Mpaka Home wiki hii imefika mpaka nyumbani anakoishi video vixen aliepata umaarufu mkubwa baada ya kuonekana kwenye video ya Harmonize ya Ameloa, Sophy Ameloa na haya ndiyo maisha yake halisi.