Msanii wa muziki nchini, Abdu Hamid Said maarufu ‘Kontawa’ ameachia wimbo wake mpya wa Binadamu amemshirikisha Mwimbaji maarufu wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize.