×

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO

Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo wakati alipofika Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2024.

Rais Samia leo Juni 12, 2024 amefanya mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo wakati alipofika Ikulu Mkoani Dodoma.

 

Rais Samia akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2024.

Leave a Comment