Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zee Cute @zee_cuty ambaye kwa sasa anafanya poa kwenye Tamthiliya ya #Dosari inayoruka Dstv, amefunguka mengi kuhusu maisha yake binafsi na maisha ya kisanii katika mahojiano aliyoyafanya na Global TV.
Anakwambia hajaolewa na hatarajii kwani anataka kuwa free!