Rais Mwinyi Alivyozindua Bohari Kubwa Ya Gesi Zanzibar
Global Publishers June 28, 2024 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz, Dk. Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuzindua bohari ya kuhifadhi nishati ya gesi ya kuhifadhi nishati ya gesi ya Kampuni ya Oryx na Vigor Group of Companies uliofanyika jana Juni 27, 2024 Mangapwani Zanzibar. Wengine kutoka kulia niKtibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Injinia Zena Ahmed Said, Mkurugenzi Mkuu wa Oryx Gas Ltd, Benoite Araman, Mwenyekiti wa makampuni ya Vigor, Taufiq Salum Turky na kutoka kushoto ni Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar, Khamis Mbeto, Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Hadid Rashid Hadid na Waziri wa Maji, Nishati na Madini, Shaib Hassan Kaduara. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, akikata utepe kuweka jiwe la msingi kuzindua bohari ya kuhifadhi nishati ya gesi ya Kampuni ya Oryx uliofanyika jana Juni 27, 2024 huko Mangapwani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandisi wa Kampuni ya Oryx, Joseph Soka alipokuwa akitoa maelezo wakati wa hafla ya uzinduzi wa bohari ya kuhifadhi nishati za gesi ya kuhifadhi nishati ya gesi ya Kampuni ya Oryx na Vigor Group og Companies uliofanyika jana Juni 27, 2024 Mangapwani Zanzibar.