×

Bilionea Manji Wa Yanga Afariki Dunia Akiwa Marekani Akipatiwa Matibabu – Video

Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuwa muwekezaji wa klabu ya Yanga na Mkurugenzi wa Quality Group Limited (QGL), Yusuph Manji amefariki dunia leo, Juni 30, 2024.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa Maji amefikwa na mauti akiwa nchini Marekani alikokuwa akipatiwa matibabu kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.

Leave a Comment