Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyompokea Peter Msigwa baada ya kujiunga na Chama cha Mapinduzi na kutambulishwa kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC) Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2024.
