×

Rais Samia Amteua Jafo kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)

Dkt. Selemani Saidi Jafo

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Selemani Saidi Jafo kuwa Waziri wa Viwanda na
Biashara

Dkt. Jafo anachukua nafasi ya Dkt. Ashatu Kijaji aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)

Dkt. Ashatu Kijaji

Leave a Comment