×

Chadrack Boka Atua Yanga Kuziba Pengo la Joyce Lomalisa

Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kushoto, Chadrack Boka (24) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutoka FC Saint Lupopo ya Nchini kwao kwa mkataba wa miaka miwili utakaombakisha Young Africans Sc mpaka 2026 kutoka klabu ya

Beki huyo ambaye amekuwa akijumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya DRC anatua Jangwani kuziba pengo la Joyce Lomalisa ambaye ameoneshwa mlango wa kutokea.

MASHABIKI YANGA WAMKARIBISHA BALEKE – WAWALIPUA SIMBA – ”WATAFUKUZA MCHEZAJI MMOJA MMOJA”..

Leave a Comment