Haya Hapa Matokeo ya Kidato cha Sita na Ualimu 2024 Yaliyotangazwa na NECTA

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Julai 13, 2024 limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita pamoja na ualimu.
Katibu Mtendaji Mkuu wa NECTA, Dkt. Said Mohamed amesema ufaulu wa mwaka huu 2024 umepanda mpaka asilimia 99.1.
BOFYA HAPO CHINI KUTAZAMA

