×

Yanga Yaifuata Kaizer Chiefs na Augsburg ya Ujerumani Sauzi (Picha +Video)

Kikosi cha Yanga leo Julai 18, 2024 kimeanza safari ya kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mwaliko wa mashindano ya Mpumalanga Premier’s International Cup 2024 na Toyota Cup.

Ratiba ikienda vizuri wamepanga kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Augsburg SC ya ligi kuu ya Ujerumani 20-21 Julai 20, 2024.
Pia  Julai 29, 2024 watacheza mechi dhidi ya klabu ya Kaizer Chiefs.

 

Leave a Comment