×

Juma Magoma: Kamwe na Haji Manara ni mashabiki Simba – Video

Juma Ali Magoma

Juma Ali Magoma, amefunguka kuhusu Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ally kamwe pamoja na Haji Manara kuwa ni mashabiki na wanachama wa klabu ya Simba SC.

Magoma ameeleza zaidi kuwa watu hao wanatumika na viongozi wa klabu ya Simba SC amezungumza hayo kupitia Global TV

Leave a Comment