Beki wa zamani wa Yanga Sc, Djuma Shaban (31) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amejiunga na ‘Wauaji wa Kusini’ Namungo Fc kwa uhamisho huru.