Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Julai 31, 2024 amemuapisha CP Jeremiah Yoram Katungu kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza. Hafla hiyo imefanyika Ikulu,jijini Dar es Salaam.