RC Kunenge Alivyotembelea Banda la Tigo Viwanja vya Nane Nane mkoani Morogoro
Global Publishers August 7, 2024 0 Comments
SHARE THIS:
Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakary Kunenge akizungumza na mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya mtando wa simu ya Tigo alipotembelea banda la Tigo, kwenye maonesho ya Nane Nane, Morogoro.