×

Wananchi Arusha Wamfungukia Makonda ”Akiondoka Awe Anaaga ” – Video

Wananchi Arusha wamemtaka Mkuu wa mkoa huo Paul Christian Makonda  akiwa anaondoka awe anaaga baada ya kupita ukimya wa takribani mwezi mmoja huku swali kuu likiwa yupo wapi Mkuu wa Mkoa wa Arusha lakini Agosti 16, 2024 swali hilo limejibiwa baada ya kuonekana kwa mara ya kwanza akikagua ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Arusha uliopo eneo la Kisongo.

Leave a Comment