×

Rais Dkt. Samia Aweka Jiwe La Msingi Suluhu Sports Academy Kizimkazi, Zanzibar – Video

Rais Dkt. Samia akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa Suluhu Sports Academy katika eneo la Kizimkazi wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Zanzibar tarehe 22 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi Suluhu Sports Academy Mkunguni- Kizimkazi Zanzibar, leo tarehe 22 Agosti, 2024.

Leave a Comment