×

Rais Samia Anaondoka nchini kuelekea Kenya kufanya ziara ya kikazi

Rais Samia Suluhu Hassan leo Agosti 27, 2024 anaondoka nchini kuelekea Kenya ambako anatarajia kufanya ziara ya kikazi baada ya kupokea mwaliko kutoka kwa Rais wa nchi hiyo William Ruto.

Leave a Comment